Kama video inavyoonyesha
Wafanyabiashara wa soko la Shekilango Dar es salaam wametoa malalamiko yao dhidi ya wamiliki wa gereji ya Wachina iliyopo Shekilango kwa kutumia barabara kama sehemu ya gereji hivyo kuleta adha kwa wafanyabiashara na wanunuzi wao.
Rainbow-tz blog inatarajia kuwa serikali kwa kutumia mamlaka zake husika itachukua hatua.
No comments:
Post a Comment