Thursday, 25 April 2013

UPANGILIAJI WA SAMANI ZA CHUMBA CHA KULALA




Usiboreshe bustani tu na ukasahau unapoweka ubavu(bedroom).Chumba cha kulala kinapaswa kuwa kitanda chenye godoro pamoja na mito inayokidhi matumizi ikimaanisha viwe na ubora unaotakiwa.Vilevile,chumba cha kulala hakitakiwi kuwa na vitu vingi.Kumbuka hiyo ni sehemu yako ya kulala tu.Urembeshaji wa chumba kwa mapazia,rangi na taa unawezakupata ushauri kutoka kwa interior decorators.

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...