Saturday, 18 May 2013

BAADA YA DAKIKA TISINI YANGA YAICHAPA SIMBA 2-0, YATWAA KOMBE LA VPL


Timu ya Yanga leo imewaadhibu watani wao wa jadi, Simba SC baada ya kuwalaza kwa bao 2-0  katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Mabao ya Yanga yamefungwa na Didier Kavumbagu na Hamis Kiiza. Baada a mchezo huo, Yanga SC ambao ni mabingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom mwaka huu, walikabidhiwa kombe lao.

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...