Tuesday, 28 May 2013

BREAKING NEWS:MWANAMUZIKI WA HIP-HOP ALBERT MANGWAIR AMEFARIKI DUNIA

Bild: BREAKING NEWS: Mwanamuziki wa Hip-Hop ALBERT MANGWAIR amefariki dunia LEO huko Afrika Kusini katika hospitali ya Hellena Joseph. Endelea kusikiliza East Africa Radio na kutazama East Africa Television (EATV) kwa habari zaidi.



Mwanamuziki wa Hip-Hop ALBERT MANGWAIR amefariki dunia LEO huko Afrika Kusini katika hospitali ya Hellena Joseph. 
CHANZOEast Africa Radio 

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...