Thursday 9 May 2013

MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA KUNUNUA MAPAZIA


BAJETI
Usikurupuke kununua mapazia kwavile una pesa.Kwanza angalia kama kuna mapazia yanayouzwa kwa punguzo la bei.(angalia sale na discount)

AINA YA KITAMBAA CHA PAZIA
Mapazia siyo yanawekwa bora mapazia,la hasha.Lazima uangalie pazia limetengenezwa kwa kitambaa gani.Nunua pazia zenye rangi zilizopowa na kitambaa chake kiwe kimetengenezwa na material inayozuia joto.Hii itasaidia kuweka hali ya ubaridi na kupunguza ukali wa mwanga   ndani.

RANGI
Usinunue pazia ambazo ni bei rahisi sana.Nunua pazia  zenye rangi ambazo zinaendana na kuta zako, rangi ya zulia na mapambo mengine uliyo nayo.Kuchagua rangi ya pazia ni kitu muhimu sana kwani utaongeza umaridadi wa chumba.









No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...