Sunday 5 May 2013

MANUKATO NIPENDAYO



Wadau haya ni baadhi ya manukato nipendayo.Manukato haya hayana harufu kali ya kuumiza kichwa bali yana harufu iliyopowa.Kwa mdau yeyote aliyetumia anaweza kutoa maoni yake .Vilevile  tunakaribisha aina nyingine za manukato kutoka kwenu wadau ili ku-share experience na kuelimishana.Karibuni!

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...