Yanatoka nchi jirani, yatengenezwa kwa umemeMakala na Denis Mtima na Chande Abdallah
Ripoti ya Wiki hii imegundua kuwa asilimia kubwa ya mayai yanayotumiwa na wananchi wengi kwa sasa ni feki na yanauzwa kinyemela ndani ya Jiji la Dar.
Baada ya kupigwa vita na serikali miezi michache iliyopita, imebainika kuwa bado yamezagaa na watu wanaotajwa kuyatumia kwa kiasi kikubwa ni wauza chipsi mitaani.
Mayai hayo ambayo hayatofautiani na mayai ya kuku wa kizungu yaliyozoeleka kwa kuwa na muonekano wa rangi nyeupe sana, imebainika kuwa yanatengenezwa kwa kutumia mashine maalum za umeme.
Kwa habari kamili ingia
http://www.globalpublishers.info/
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
PALM TREES ARE BEAUTIFUL
Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...
-
Dar es Salaam: Mwekezaji Sheikh Salim Abdullah ametangaza kuwekeza kwenye Uwanja Wa Ndege wa Kimataifa wa JK Nyerere Dar es Salaam (JN...
-
1. PASTA Hiki ni chakula cha haraka.Unaweza kutayarisha pasta kwa kuongeza tu protini ulizonazo katika jokofu lako mfano kuku...
No comments:
Post a Comment