 |
Vigori wakiwa katika sherehe ambayo mfalme wao Mswati III huchagua mke.Sherehe hiyo hujulikana kama |
" Umhlanga"
 |
Hapa vigori wakingoja kuchaguliwa |
 |
Mfalme Mswati akipita mbele ya vigori kuchagua mke |
 |
Mfalme Mswati na mmoja wa wake zake katika safari ya nje ya nchi |
 |
Picha juu zinaonyesha baadhi ya wake wa mfalme Mswati |
 |
Mfalme Mswati katika vazi la asili |
 |
Mfalme Mswati katika vazi la nchi za magharibi(suti) |
Inadaiwa kuwa Mfalme Mswati anawake 14 na watoto takribani 23.Mfalme Mswati huoa mke moja kila mwaka kama inavyotaka mila zao.
No comments:
Post a Comment