Sunday 5 May 2013

MLIPUKO WATOKEA KATIKA KANISA LA KATOLIKI ARUSHA

Majeruhi wa mlipuko huo

Mlipuko mkubwa umetokea katika kanisa Katoliki la Mt. Joseph Mfanyakazi Parokia ya Olasisi Arusha. Watu kadhaa wamejeruhiwa wakati wa ibada ya uzinduzi wa kanisa hilo iliyokuwa ikiongozwa na Balozi wa Papa nchini


CHANZO:swahili info blog & ITV

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...