Tuesday, 21 May 2013
MSIMU WA MVUA UNA KARAHA NA WA BARIDI WENYE KUAMBATANA NA UDONDOKAJI WA THELUJI NAO UNA KARAKA ZAKE
Afadhali huu msimu umekwisha jamani.Mtu unaishi nusu ya mwaka katika hali hii na kiboko ni giza linaloingia saa 9 mchana.Kuteleza na kuanguka ni hali ya kawaida na hakuna kumcheka mwenzio maana unaweza kumcheka na wewe ukaanguka baada yake.Wakati mwingine hutokea sintofahamu katika usafiri kama theluji ikianguka kwa wingi sana.
Hivyo kila msimu una karaha zake wadau,iwe mvua,jua au baridi.
PICHA: Stockholm,Sweden
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
PALM TREES ARE BEAUTIFUL
Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...
-
Dar es Salaam: Mwekezaji Sheikh Salim Abdullah ametangaza kuwekeza kwenye Uwanja Wa Ndege wa Kimataifa wa JK Nyerere Dar es Salaam (JN...
-
1. PASTA Hiki ni chakula cha haraka.Unaweza kutayarisha pasta kwa kuongeza tu protini ulizonazo katika jokofu lako mfano kuku...
No comments:
Post a Comment