Baada ya Nisha kufanya kazi na mastar kibao now ameamua kusimama na msanii chipukizi Getrude Bazil Mushi ambaye soon atakuwa kwenye movie za Nisha’s Film production.
Getrude ni mshauri na designer wa Nisha. Getrude pia ataonekana kwenye season mpya ya High Heels inayoandaliwa na Tuesday Film Production ya Mr.Chuzi ambayo itaruka mwezi wa sita African Magic Swahili.
No comments:
Post a Comment