Friday 10 May 2013

PENDEZESHA NYUMBA YAKO KWA BUSTANI NZURI ZA MAUA NA MITI






Nyumba inapozungukwa na maua na miti mizuri hakika hupendeza.Chagua miti na maua unayopenda kuendana na ukubwa wa eneo la nyumba yako.Nadhani ni vizuri kuwa na miti ya matunda.Unaweza kupata ushauri kwa wataalam wa bustani kama mwenyewe huwezi kupangilia.

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...