Friday 3 May 2013

TUIGE HILI KUTOKA KWA RAIS UHURU KENYATTA


Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amechukua jukumu la kumsomesha kijana Daniel Owira mpaka ngazi ya chuo kikuu Vilevile amesema kijana huyu kutoka sasa ni mmoja wa watoto wake.Kijana huyu alikwenda kumtembelea rais  Uhuru Kenyatta Ikulu.


No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...