Unaponunua fenicha kwa ajili ya chumba cha kulala cha mtoto inabidi uzingatie mambo yafuatayo
Usalama
Vitanda vya watoto vinatakiwa kuzuia watoto kuanguka.Kama inavyojulikana kuwa watoto hujisogeza sana wanapolala.
Makabati ya mtoto yanapaswa yatengenezwe kulingana na kimo chao ili iwe rahisi kwa mtoto kufikia vitu vilivyomo ndani.
Nunua fenicha ambazo zinaendana na mapambo yaliyomo katika chumba cha mtoto aliyekusudiwa.Mfano chumba cha mtoto wa kike hupendelea kuwa na rangi ya pinki,ni vizuri mapambo na vitu vingine vilivyomo katika chumba chake vishabihiane na rangi hiyo ili kuleta mwonekano mzuri.
No comments:
Post a Comment