Kutoka kushoto: Mwanamitindo Asia Idarous, Shamim, Abdul na Bwana Khamsin(mume wa Asia) |
Kutoka kushoto:Abdul, Shamim na Othman Michuzi |
Jide na Machozi band walikuwepo katika kutoa burudani Sherehe ya arusi kati ya Shamim na Abdul ilifanyika usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Mlimani City.Rainbow-tz blog inawatakia kila la heri katika maisha yao ya ndoa. |
CHANZO: Mtaa kwa mtaa
No comments:
Post a Comment