Wednesday 26 June 2013

BURUDIKA NA ZAWOSE FAMILY KUTOKA TANZANIA!



Familia ya Zawose ni kundi la waimbaji ndugu 7(wa kike na wa kiume) ambao huimba kwa kutumia ala za muziki walizozitengeneza wenyewe.
Tanzania tuna mengi ya kujivunia likiwamo hili kundi la familia ya Zawose.Tuwatangaze zaidi ili waweze kujulikana duniani kote kwani kwa kufanya hivyo,nchi yetu nayo itajulikana duniani kote.

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...