Leo ni siku ambayo timu yetu ya taifa,Taifa Stars, inacheza na timu ya Morocco.Blog hii inaitakia timu yetu ya Taifa kila la heri katika mchezo huu muhimu leo.
Mungu ibariki Tanzania!
Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...
No comments:
Post a Comment