Monday 24 June 2013

MKOA KWA MKOA: MKOA WA KIGOMA KATIKA PICHA






Wadau,leo tupo Kigoma.Mji wa Kigoma(Kigoma mwisho wa reli kama unavyojulikana), una vivutio mbalimbali kama vile hifadhi za Mahale,Gombe na Ziwa Tanganyika ambalo linaunganisha Tanzania na nchi za Burundi(Bujumbura),Kongo(Kalundu-Uvira) na Zambia(Mpulungu).
TEMBELE KIGOMA KATIKA PICHA ZIFUATAZO
Barabara kuelekea ofisi ya mkuu wa mkoa

File:Kigoma Bahnhof Geleiseseitig.jpg
Stesheni a treni Kigoma










Mitaa ya mji wa Kigoma
Ofisi ya mkuu wa mkoa





Ukiwa Kigoma,unaweza kupumzika Lake Tanganyika Hotel

Unaweza vilevile kupumzika Kigoma Hilltop Hotel







Greystoke,Mahale














Nyani katika hifadhi za Mahale





Nyani katika hifadhi za Gombe

Kwa kufahamu mengi tembelea mji wa Kigoma na hutajutia safari yako.


No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...