Sunday 23 June 2013

MTOTO AZALIWA NA MKIA KATIKATI YA MAKALIO




Mama mzazi wa Xiao Wei ambaye ni mchina amwage machozi akiomba msaada wa kunusuru maisha ya mwanae mwenye umri wa miezi 7 aliyezaliwa na mkiamkia mfupi, wenye urefu wa sentimita 8 ( 8 cm ) katikati ya makalio  mawili.

Akiongea kwa uchungu, mama mzazi wa mtoto huyo amedai kuwa kwa muda mrefu amekuwa akiwaomba madaktari wafanye upasuaji wa tako hilo lakini wao wamekuwa wakimjibu kuwa hiyo si kazi nyepesi kama anavyodhani.

"Tukilikata litaota tena, hivyo hatutakiwi kukurupuka na badala yake tutakiwa kupata muda wa kupitia vitu vingi ukiwemo mrija wa uti wa mgongo ambapo kalio hilo limejiegesha"...Alisema daktari mmoja akimjibu mama huyo.

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...