Wednesday, 5 June 2013

PICHA TOKA MOROGORO AMBAKO ALBERT MANGWEA ATAZIKWA BAADA YA KUAGWA VIWANJA VYA LEADERS CLUB

Afande Sele The King akimfariji mama yake Albert Mangwea. Kupitia ukurasa wake wa facebook ameandika hivi "Kama mwana wa mwenzio ni mwanao,basi hata mama yake Ngwea ni mama yangu! Pole sana Bi mkubwa``








 Wageni waliofika msibani Morogoro kwa marehemu Mangwea. 

 Wakipanga jambo kutokana na eneo la nyumbani kwao marehemu Mangwea kuwa dogo.

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...