Rais Jakaya Kikweteakilakiwa na mkurugenzi mkuu wa wizara ya Mambo ya Nje
ya Singapore,Bw Laurence Bay.Kushoto ni
Balozi wa Tanzania India na Singapore Injinia John Kijazi na mbele yao ni Naibu
Mkurugenzi wa Itifaki wa Singapore Bi.christine Tay.
|
Rais Kikwete akisalimiana na Bernard Membe, Waziri wa mambo
ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa,akifuatiwa na Abdallah Kigoda,Waziri wa
Viwanda na Biashara na Anna Tibaijuka,Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya
Makazi
|
Raisi Kikwete akiongea na wafanyabiashara jijini Singapore
leo akiwataka wafanyabiashara hao kuja kuwekeza katika sekta ya nyumba
|
No comments:
Post a Comment