Saturday, 8 June 2013

TOP IN DAR!



Jamani watanzania tuwathamini hawa wasanii wetu kwani wana vipaji vikubwa.Tuwathamini sasa kwa ku-support  kazi zao, kununua na kuingia katika maonyesho yao.Tukumbuke mbali na vipaji walivyonavyo hii ni kazi yao vilevile.Tuwape ushirikiano na tuwashutumu wale wote ambao wanawatumia wasanii au wanatumia kazi zao  kwa faida zao binafsi.

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...