Friday 28 June 2013

ZIARA YA BARACK OBAMA SENEGAL KATIKA PICHA

President Obama speaks during a news conference at the presidential palace in Dakar.
Rais Obama akiongea ikulu Dakar,Senegal

Obama talks with Senegal President Macky Sall at the presidential palace.
Obama akiwa na mazungumzo na mwenyeji wake rais Macky Sall wa Senegal

First lady Michelle Obama, left, meets Mariame Faye Sall, first lady of Senegal.
Michelle Obama akiwa na mke wa rais wa Senegal Mariame Faye Sall

Leslie Robinson, left, niece of first lady Michelle Obama, Malia Obama, first lady Michelle Obama and principal Rouguy Ly Sall sit together during a student presentation at the Martin Luther King Middle School in Dakar.
Leslie Robinson, kushoto, mtoto wa kaka yake Michelle Obama, Malia Obama, Michelle Obama na mkuu wa shule ya kati ya  Martin Luther King iliyopo Dakar Senegal, Rouguy Ly Sall,  wakisikiliza mawakilisho kutoka kwa wanafunzi(student presentation)  
President Obama, left, and first lady Michelle Obama stand at the Door of No Return while touring the House of Slaves museum on June 27 on Goree Island, Senegal. Obama and his family toured the building where African slaves were held before going through the door as they were shipped off the continent as slaves.The president will visit Senegal, South Africa, and Tanzania during his one-week visit to sub-Saharan Africa.
Rais Obama na Michelle wakiwa wamesimama katika mlango(Door of No Return ) watumwa walipokuwa wanatokea  wakati wa kusafirishwa katika jumba la kumbukumbu ya biashara ya utumwa katika kisiwa cha Goree 

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...