WATOTO wa mitaani ‘Chokoraa’ leo wamepandishwa kizimbani kwenye Mahakama ya Sokoine Drive jijini Dar na kufunguliwa mashitaka ya uzururaji. Watoto hao walinaswa kwenye msako uliofanyika kwenye kituo kikuu cha mabasi yaendayo mikoani ‘Ubungo Bus Terminal’.
Zifuatazo ni baadhi ya picha za watoto hao na yeyote anayetaka kuwafuatilia afike kwenye gereza la watoto lililopo Kisutu.
Watoto wa mitaani 'Chokoraa' wakipelekwa kwenye gereza la watoto lililopo Kisutu jijini Dar es Salaam.
CHANZO: PICHA ZOTE NA RICHARD BUKOS / GPL
No comments:
Post a Comment