Baba mzazi wa Prof. Jay ‘katikati’ akibadilishana mawazo na waombolezaji.
KIFO cha mama wa msanii wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Rosemary Majanjala, Joseph Haule ‘Prof. Jay’ kimeacha majonzi tele kutokana na kwamba aligongwa na gari aina ya Stallet jana saa mbili usiku ambapo alifariki baada ya kufikishwa katika hospitali ya Tumbi iliyopo Kibaha, mkoani Pwani. Pichani juu ni baadhi ya taswira kutoka msibani Mbezi Mwisho jijini Dar es Salaam nyumbani kwa Prof Jay.
(Picha/stori: Na Gladness Mallya/GPL)

No comments:
Post a Comment