Sunday, 14 July 2013

MAZISHI YA MAMA WA PROFESSOR J KUFANYIKA LEO KINONDONI,DAR ES SALAAM

Rosemary Elisha Majanjara

Hii ni kw mujibu wa maelezo ya Professor Jay katika akaunti yake ya facebook.Aliandika kama ifuatavyo:
  • Leo ndio siku ya kumpumzisha mama yetu na Rafiki yetu Rosemary Elisha Majanjara kwenye nyumba yake ya milele pale makaburi ya KINONDONI!!!

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...