Thursday, 11 July 2013

RAIS KIKWETE AFUNGA KONGAMANO LA KUJADILI AMANI YA TAIFA

1Mwenyekiti wa Taasisi ya Tanzania Centre for Democracy(TCD) ambaye pia ni kiongozi wa chama cha NCCR Mageuzi Mhe. James Mbatia akimkabidhi Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete maazimio ya Kongamano la Kitaifa kujadili Amani ya Taifa lililofanyika katika hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam na kufungwa leo jioni.8E9U0583Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya kufunga Kongamano la Kitaifa Kujadili Amani ya Taifa lililofanyika katika hoteli ya White Sands jijini Dar es Salam leo jioni.8E9U0586Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya kufunga Kongamano la Kitaifa Kujadili Amani ya Taifa lililofanyika katika hoteli ya White Sands jijini Dar es Salam leo jioni.8E9U0640Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na viongozi wa vyama vya siasa vilivyoshiriki katika Kongamano  la kitaifa Kujadili Amani ya Taifa lililofanyika katika Hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam.Kushoto ni kiongozi wa Chama cha NCCR Mageuzi Mhe.James Mbatia (MB), Mwenyekiti wa TLP Mhe.Augustine Lyatonga Mrema(watatu kushoto) na kulia ni Mwenyekiti wa Chama cha UDP Mhe.John Momose Cheyo8E9U0694Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete(aliyekaa katikati) Akiwa katika picha ya Pamoja na baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa na washiriki wa Kongamano la Kitaifa Kujadili Amani ya Taifa lililofanyika katika Hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam(picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...