Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Mstaafu wa Marekani Mhe George W. 
Bush na Mkewe Laura na Mama Salma Kikwete wakati wa ufunguzi wa mkutano 
wa wake wa marais wa Afrika Mashariki leo July 3, 2013 katika hoteli ya 
Serena jijini Dar es salaam.
Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete akifungua mkutano wa wake wa marais wa Afrika 
Mashariki leo July 3, 2013 katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam.
Wageni
 wakimsikiliza Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua mkutano wa wake wa 
marais wa Afrika Mashariki leo July 3, 2013 katika hoteli ya Serena 
jijini Dar es salaam.
 
PICHA NA IKULU



 
 
No comments:
Post a Comment