Monday, 15 July 2013

RAIS KIKWETE KATIKA SHUGHULI YA UTOAJI VIFAA VYA KUONGEZA USIKIVU KWA WALEMAVU WA KUSIKIA‏

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na mmoja wa wanafunzi wa shule ya walemavu wa kusikia ya Buguruni akiwa na  mwanzilishi na mkuu wa Taasisi ya Starkey Hearing Foundation Bw. Bill Austin alipohudhuria shughuli ya utoaji wa vifaa vya kuongeza usikivu kwa walemavu wa kusikia katika viwanja vya hoteli ya Serena jijini Dar es salaam leo Julai 15, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwapongeza wanafunzi wa shule ya walemavu wa kusikia ya  Buguruni baada ya kupatiwa vifaa na  mwanzilishi na mkuu wa Taasisi ya Starkey Hearing Foundation Bw. Bill Austin alipohudhuria shughuli ya utoaji wa vifaa vya kuongeza usikivu kwa walemavu wa kusikia katika viwanja vya hoteli ya Serena jijini Dar es salaam leo Julai 15, 2013.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na mwanzilishi na mkuu wa Taasisi ya Starkey Hearing Foundation Bw. Bill Austin alipohudhuria shughuli ya utoaji wa vifaa vya kuongeza usikivu kwa walemavu wa kusikia katika viwanja vya hoteli ya Serena jijini Dar es salaam leo Julai 15, 2013.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika shughuli ya utoaji wa vifaa vya kuongeza usikivu kwa walemavu wa kusikia katika viwanja vya hoteli ya Serena jijini Dar es salaam leo Julai 15, 2013. 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wanafunzi wa shule ya walemavu wa kusikia ya  Buguruni  alipohudhuria shughuli ya utoaji wa vifaa vya kuongeza usikivu kwa walemavu wa kusikia katika viwanja vya hoteli ya Serena jijini Dar es salaam leo Julai 15, 2013.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Bw. Sholloh Challi, katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa mstaafu,  alipohudhuria shughuli ya utoaji wa vifaa vya kuongeza usikivu kwa walemavu wa kusikia katika viwanja vya hoteli ya Serena jijini Dar es salaam leo Julai 15, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na viongozi na watendaji wa  Starkey Hearing Foundation na  wanafunzi wa shule ya walemavu wa kusikia ya  Buguruni  alipohudhuria shughuli ya utoaji wa vifaa vya kuongeza usikivu kwa walemavu wa kusikia katika viwanja vya hoteli ya Serena jijini Dar es salaam leo Julai 15, 2013.
(PICHA NA IKULU)

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...