Saturday, 13 July 2013

TAZAMA PICHA MBALIMBALI ZA SHILOLE AKIWA ANASHOOT VIDEO NDANI YA NEW YORK CITY MAREKANI

clip_image001
Shilole alipata nafasi ya kutengeneza video ya wimbo wake mpya unaojulikana kwa jina 'NAKOMAA NA JIJI' baada ya kumaliza majukumu yaliyo mleta U.S.A.
Sehemu ambayo aliipendekeza video hiyo itengenezwe ni New York na ndoto hiyo ilitimia baada ya kupata studio ya kumtengenezea video yake.
Pita taswira za location zilizotumika katika video hiyo akiwa katika jiji la New York. Hapa Shilole akiwa ndani ya usafiri uliotumika katika video yake hiyo mpya Akijiandaa kwa 'make up' mitaa ya Downtown Brooklyn Barclays Center clip_image001[6]Masanja akiwa sambamba na Camera Man kuhakikisha Shilole anapata kitu kilicho bora kabisa. Habari ndiyo hiyoo kaeni mkao wa kula video hii itakuwa baaaaabukubwa ...... clip_image001[10]Shilole ndiyo habari ya mujini clip_image001[12]Wimbo wake mpya huo unatamba sasa katika radio station za Tanzania.


clip_image001[14]Hapa Shilole alipata company ya mtoto huyo aliomba kucheza na Shilole baada ya kuvutiwa na jinsi Shilole alivyokuwa akicheza clip_image001[16]Shilole akicheza na mtoto alie omba kucheza nae mtoto huyo alivutia na jinsi Shilole alivyo kuwa anacheza. 




clip_image001[24]Hapo Shilole akipata ukodak na jamaa ambae alivutiwa na jinsi alivyo kuwa ana cheza katika harakati za kutengeneza video yake .

CHANZO: Bongo clantz



No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...