Wednesday, 10 July 2013

UPAMBAJI NYUMBA NA SOFA ZENYE RANGI YA CHUNGWA









Wadau kama nilivyyoandika katika posti zilizopita kuwa kila rangi ni nzuri mtihani ni katika kupangilia rangi hizo.Unaweza kujiuliza hivi sofa za rangi ya machungwa (orange) zitaonekanaje ndani ya nyumba?Au hivi nikiweka sofa nyeusi nyumba si itakuwa na giza sana?Hapa,kama utaweka sofa nyeusi, ukuta ukawa mweusi(sijauona),mapazia yakawa meusi basi kweli nyumba itakuwa na giza na vilevile itatisha.Ila ukiweka sofa nyeusi hakikisha ukuta una rangi angavu  hususan nyeupe.Vilevile cheza na mapazia pamoja na mapambo ya ukutani.

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...