Friday, 26 July 2013
ZIARA YA OPRAH WINFREY TANZANIA
Oprah Winfrey alipotua Tanzania hivi karibuni.
Oprah alitembelea hifadhi za Serengeti.Moja ya vivutio alivyotarajiwa kuviona ni uhamaji wa Nyumbu na punda milia katika mbuga za Serengeti kwa kuvuka mto Mara upande wa Tanzania, kuelekea mbuga za Masai Mara zilizopo nchini Kenya.
Oprah akiwa na patna wake,Stedman Graham,kkatika hifadhi za Serengeti
PICHA: Uhamaji wa wanyama kwa kuvuka mto Mara
Pongezi kwa wizara ya Utalii na msichoke kutangaza vivutio vya utalii vilivyopo nchini ili tuendelee kuwapokea watu maarufu duniani.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
PALM TREES ARE BEAUTIFUL
Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...
-
Dar es Salaam: Mwekezaji Sheikh Salim Abdullah ametangaza kuwekeza kwenye Uwanja Wa Ndege wa Kimataifa wa JK Nyerere Dar es Salaam (JN...
-
1. PASTA Hiki ni chakula cha haraka.Unaweza kutayarisha pasta kwa kuongeza tu protini ulizonazo katika jokofu lako mfano kuku...
-
The cash money brother -Japher Kiongoli wedding was in Sydney, Australia. The CEO alias Mpiganaji Davis Mosha, Nancy, kids, mother ...
No comments:
Post a Comment