Elizabeth Michael “Lulu” usiku wa 30/8 ameandika historia katika maisha yake ya movie kwa kuzindua movie yake mwenyewe kwa mara ya kwanza. Lulu amekuwa akifanya vizuri kwenye movie zinazoandaliwa na kampuni nyingine, lakini yeye binafsi hii ndiyo movie ya kwanza kuwekeza pesa zake. @hotlulumichael akiongea na waandishi wa habari alisema kwamba ameshiriki sana kwenye hii hasa kusaidia ku-direct na wazo zima la Foolish Age lilitoka kwa mtu wake wa karibu sana.
Uzinduzi ulifanyika kwenye hall la Mlimani City Conference center na kuhudhuriwa na wasanii kama Steve Nyerere,Joti,JB,Ray,Batuli,Monalisa na mama yake,JB,Wastara,Wema Sepetu,Jacklyne Wolper,Nisha na wengine wengi. Movie ilionyeshwa kwa dakika 20 na ikaanza kuuzwa palepale kwenye DVD moja yenye part 1 & 2
Hapa Lulu alijikuta mbele ya mic nyingi za waandishi wa habari

Kemmy kutoka Kaole Sanaa Group, mmoja kati ya wasanii waliompokea Lulu wakati anaingia kwenye sanaa
Davina kutoka bongomovie


Watu mbalimbali kwenye uzinduzi wa Foolish Age
Wastara Juma ndani ya red carpet



Tino kwenye red carpet

Producer Lucci “Kaka”
Mkali wa comedy Mboto ndani ya ukumbi

Jacob Steven “J.B”


Lulu akiwasili na Lemousine


Lulu ndani white dress kwenye red carpet

Ray akifanya interview
Jacklyne Wolper
Batuli kutoka Bongomovie
Caesrer Daniel na Nando

Wema Sepetu
Steve Nyerere alitupia wigi usiku huo
Monalisa na mama yake
Queen Darlin
Muigizaji na muimbaji Shilole
Taswira ya ukumbi
Show ikifunguliwa
Lulu akiwasili kwenye stage kuwakaribisha wageni kuangalia movie ya Foolish Age
Movie ya Foolish Age ikionekana kwa mara ya kwanza
Hapohapo zikaanza kuuzwa
Burudani ikafuatiwa Lulu mwenyewe akiiongoza
Meza ya Wema na marafiki zake ikaanza kuchukua attention ya camera
Mama Kanumba kaenda kukutana na Wema Sepetu
Hapo sasa Wema akaanza kumtunza noti mama Kanumba
Shughuli ikiendelea
Wema kapiga magoti anamwabia kitu mama Kanumba
Mzee Chilo naye kajongea kwenye meza ya Wema
Huku Lulu anaendelea kuburudisha na camera zikamfuata


Marafiki wa muda mrefu sana JB na Richie.



CHANZO: Millard Ayo
No comments:
Post a Comment