Nemela Mangula
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Mhe Philip Mangula kwa kufiwa na binti yake, Nemela Mangula, aliyefariki mwishoni mwa juma kwa ajali ya gari. Hapa ni nyumbani kwa Mzee Mangula Oysterbay jijini Dar es salaam leo Agosti 19, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Profesa Mark Mwandosya alipoenda kumfariji Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Mhe Philip Mangula kwa kufiwa na binti yake, Nemela Mangula, aliyefariki mwishoni mwa juma kwa ajali ya gari. Hapa ni nyumbani kwa Mzee Mangula Oyterbay jijini Dar es salaam leo Agosti 19, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi kitabu cha maombolezo alipoenda kumfariji Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Mhe Philip Mangula kwa kufiwa na binti yake, Nemela Mangula, aliyefariki mwishoni mwa juma kwa ajali ya gari. Hapa ni nyumbani kwa Mzee Mangula Oyterbay jijini Dar es salaam leo Agosti 19, 20
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa mkono wa pole Mama Mangula alipoenda kuifariji familia ya Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Mhe Philip Mangula kwa kufiwa na binti yake, Nemela Mangula, aliyefariki mwishoni mwa juma kwa ajali ya gari. Kulia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Anne Makinda. Hapa ni nyumbani kwa Mzee Mangula Oyterbay jijini Dar es salaam leo Agosti 19, 20
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa mkono wa pole dada wa Mzee Philip Mangula alipoenda kuifariji familia ya Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Mhe Philip Mangula kwa kufiwa na binti yake, Nemela Mangula, aliyefariki mwishoni mwa juma kwa ajali ya gari. Kulia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Anne Makinda. Hapa ni nyumbani kwa Mzee Mangula Oyterbay jijini Dar es salaam leo Agosti 19, 20
Poleni sana jamani....
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Mhe Philip Mangula na familia yake kwa kufiwa na binti yake, Nemela Mangula, aliyefariki mwishoni mwa juma kwa ajali ya gari. Anayefuata ni Profesa Mark Mwandosya, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe Jordan Rugimbana na Bw. Ali Kikwete Hapa ni nyumbani kwa Mzee Mangula Oyterbay jijini Dar es salaam leo Agosti 19, 20
Nape Nnauye akiweka saini katika kitabu cha maombolezi
Nape Nnauye akimpa pole Mama Mangula. kulia ni Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda
Waombolezaji wakimfariji Kaka yake Nemela
Mshumaa uliozimika ghafla - Nemela Mangula.Picha na Ikulu
No comments:
Post a Comment