Tindikali katika chupa

Khodeza Begum na mwanae walimwagiwa tindikali wakiwa wamelala huko Bangladeshi
Wahanga wengi wa tindikali wapo katika nchi za Cambodia, Afghanistan, India, Bangladesh, Pakistan na nchi nyingine za jirani na hizo na asilimia 80% ya wahanga wa kumwagiwa tindikali ni wanawake.
Saira Liaqat akiwa ameshikilia picha ake kabla ya kumwagiwa tindikali huko Lahore Pakistan. Saira alishambuliwa na mumewe ambaye wana ujamaa nae mara baada ya Saira kukataa kuishi na mumewe huyo mpaka pale(Saira) amalizapo shule.
Mhanga wa tindikali kutoka Cambodia
- Darlison Kobusingye, mhanga wa tindikali kutoka . Darlison na mumewe Joseph Muganizi, 35, walivamiwa na kumwagiwa tindikali nje yya duka lao. Hapa picha ikimwonyesha Darlison akiwa nje ya hospitali Mulago alipokuwa akipatiwa matibabu.Hii ilikuwa ni januari 4 mwaka 2012 PHOTO/ AFPPatricia Lefranc kutoka Ubelgiji,alimwagiwa tindikali(sulphuric acid) usoni na mpenzi wake na alikaa katika hali ya kutojitambua kwa miezi mitatu.Jicho moja la Patricia halioni kabisa na hana uwezo wa kusikia vizuri kutokana na madhara ya tindikali hiyo. Amefanyiwa upasuaji mara 86.Miaka miwili baada ya ajali hii bado tindikali inaendelea kumomonyoa ngozi yake na kula pua yake.
No comments:
Post a Comment