Jana Agost 16 mwaka huu majira ya saa 10:46 jiono polisi jijini Dar walimkamata raia wa Vietnam aitwaye Nguyen Fanichati akiwa na meno ya Tembo, Tukio hili lilitokea katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Meno hayo yaliyokuwa yamefichwa ndani ya sanduku yalitajwa kwa ujumla kuwa na zinathamani ya Tsh. milioni 18.4.
(PICHA NA MAKONGORO OGING' /GPL)
No comments:
Post a Comment