Friday, 16 August 2013
RAIS BANDA AMKARIBISHA RAIS DKT. JAKAYA KIKWETE NCHINI MALAWI
Rais Joyce Banda wa Malawi akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete amuda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Lilongwe tayari kuhudhuria mkutano wa wakuu wa nchi za SADC leo(picha na Freddy MaroRais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Joyce Banda wa Malawi wakipokea heshima muda mfupi baada ya Rais Kikwete kuwasili katika uwanja wa ndege wa Lilongwe kuhudhuria Mkutano wa wakuu wa nchi SADC leo jioni.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana nawakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama muda mfupi baada ya kuwasili Lilongwe Malawi kuhudhuria Mkutano wa SADC(picha na Freddy Maro)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
PALM TREES ARE BEAUTIFUL
Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...
-
Dar es Salaam: Mwekezaji Sheikh Salim Abdullah ametangaza kuwekeza kwenye Uwanja Wa Ndege wa Kimataifa wa JK Nyerere Dar es Salaam (JN...
-
1. PASTA Hiki ni chakula cha haraka.Unaweza kutayarisha pasta kwa kuongeza tu protini ulizonazo katika jokofu lako mfano kuku...
No comments:
Post a Comment