Thursday, 15 August 2013

Washindi wa Droo ya nne ya “Miliki Biashara Yako” ushinde Bajaj wakabidhiwa Bajaj zao

1
Meneja wa utoaji bidhaa wa Kampuni ya simu ya mkononi ya Tigo Bw. Suleiman Bushagama akimkabidhi bajaji mmoja kati ya washindi wa droo ya nne ya bahati nasibu ya miliki biashara yako Bi. Mariam Bulla mkazi wa Kitunda, makabidhiano hao yalifanyika eneo la wazi Manzese jijini Dar es Salaam jumla ya bajaji 6o kushindaniwa.
3
Mtaalam mkuu wa masoko na biashara wa kampuni ya Tigo Bw.Gaudens Mushi akimkabidhi bajaji mmoja kati ya washindi wa droo ya nne ya bahati nasibu ya miliki biashara yako Bi.Beatrice Gervas Mkemba (mama lishe) mkazi wa Kigamboni,makabidhiano hao yalifanyika eneo la wazi Manzese jijini Dar es Salaam jumla ya bajaji 6o kushindaniwa.
6
Meneja wa utoaji bidhaa wa Kampuni ya simu ya mkononi ya Tigo Bw. Suleiman Bushagama akimkabidhi bajaji mmoja kati ya washindi wa droo ya nne ya bahati nasibu ya miliki biashara yako Bi.Jamila Habibu Daudi mkazi wa Sinza, makabidhiano hao yalifanyika eneo la wazi Manzese jijini Dar es Salaam jumla ya bajaji 6o kushindaniwa.


8
9
Meneja wa utoaji bidhaa wa Kampuni ya simu ya mkononi ya Tigo Bw. Suleiman Bushagama akimkabidhi bajaji mmoja kati ya washindi wa droo ya nne ya bahati nasibu ya miliki biashara yako Bw. Salim Ramadhani mkazi wa Rombo Kimara, makabidhiano hao yalifanyika eneo la wazi Manzese jijini Dar es Salaam jumla ya bajaji 6o kushindaniwa.
12
Mtaalam mkuu wa masoko na biashara wa kampuni ya Tigo Bw.Gaudens Mushi akimkabidhi bajaji mmoja kati ya washindi wa droo ya nne ya bahati nasibu ya miliki biashara yako Bw.Iddi Omari mkazi wa Mbagala, makabidhiano hao yalifanyika eneo la wazi Manzese jijini Dar es Salaam jumla ya bajaji 6o kushindaniwa.
13
Washindi wa droo ya nne  ya bahati nasibu ya “Miliki Biashara Yako”ushinde bajaji wakiwa kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa kampuni ya simu za mkononi Tigo Bw. Gaudens Mushi na  Bw. Suleiman Bushagama baada ya makabidhiano ya zawadi zao.

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...