Thursday 12 September 2013

AFRICAN DASHIKI

Dashiki ni nguo ambayo mwanzo ilipendelewa kuvaliwa na wanaume.Ni nguo ambayo inaruhusu hewa.Kwasasa dashiki huvaliwa na watu wote kwani huweza kushonwa katika mitindo tofauti kulingana na matakwa ya mtu.Angalia picha zifuatazo kuona mitindo mbalimbali.






















No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...