Wednesday 11 September 2013

MAONESHO YA BIDHAA ZA CHINA YAZIDI KUSHIKA KASI DAR ES SALAAM

Na.1Baadhi ya wananchi wakiangalia  vitenge vinavyotengenezwa kutoka China katika maonyesho yanayoendelea kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam.Na. 2Mwakilishi wa kampuni ya Linghang (Shanghai) Lilian Rajabu akitoa maelezo ya bidhaa ya mchele unaolimwa nchini China kwa baadhi ya wageni waliotembelea banda lao la maonesho.

Na. 3Mwakilishi wa kampuni ya Linghang (Shanghai) Lilian Rajabu akionesha bidhaa ya mchele unaolimwa nchini China kwa baadhi ya wageni waliotembelea banda lao la maonesho.Na. 4Mfanyakazi wa kampuni ya Orientar Holdings (African Showcase) Rosemary Michael akitoa maelezo kuhusu utengenezaji na uagizaji wa vitenge kutoka nchini China.
Picha zote na Magreth Kinabo-Maelezo

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...