Sunday 8 September 2013

MWILI WA MWANAMKE ALIEUWAWA KIUKATILI KAWE JIJINI WASAFIRISHWA KWA MAZISHI MKOANI DODOMA



001.Yusta
Mwili wa Marehemu Yusta Mkali ukiwa tayari kwa kuagwa Hospital ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam,na kuanza kwa safari ya mazishi yatakayofanyika kijiji cha Nzasa  Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma. 002.Yusta
Baadhi ya wafanyakazi aliokuwa akifanya nao kazi wakitoa heshima za 
mwisho
 003.YustaWakinamama wakilia kwa uchungu 

004.Yusta
Mtoto wa Marehemu Baraka Simon(12)akimuaga mama yake mzazi kabla ya safari ya kwenda mkoani Dodoma kwa mazishi kuanza aliemshikilia ni mama yake mkubwa Lucy Ngorido. 005.Yusta
Jeneza lililobeba Mwili wa Marehemu Yusta Mkali likifunikwa na kupandishwa kwenye gari tayari kwa kuanza safari ya kwenda mkoani Dodoma kwa mazishi yatakayofanyika hapo kesho. 006.Yusta


Safari imeanza
 007
Mtuhumiwa Musa Senkando ambaye bado anatafutwa na Polisi kwa mahojiano wananchi tunaomba msaada wenu kwani huyu anadaiwa kuhusika na kifo cha mawanamke huyo.
CHANZO: Full shangwe
Rainbow blog inawapa pole ndugu wa marehemuYusta,Mungu ailaze roho yake mahali pema,amen.

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...