Thursday 12 September 2013

PICHA: H.BABA NA FLORA MVUNGI WAPATA MTOTO WA KIKE ``TANZANITE``

Ndoa ya msanii wa bongo fleva Hamis Ramadhan aka H.Baba na mkewe Flora Mvungi imefanikiwa kupata mtoto wa kike waliyempa jina la ‘TANZANITE’.
mtoto wa H baba
Tanzanite

H.Baba ameiambia Bongo5 kuwa mkewe Flora amejifungua salama jana (September 11) majira ya saa 12.30 jioni katika hospitali ya Marie Stopes iliyopo Mwenge.
mtoto wa H.Baba-2
“Najiskia furaha sana kwasababu hii ndiyo mara ya kwanza naitwa baba, namshkuru sana Mwenyezi Mungu kwa kunipa mtoto wa Kike ambaye tumemuita Tanzanite Hamis, nawashukuru wote pia ambao wametuombea dua” Alisema H.Baba
 Hongera H-Baba na Flora kwa kupata mtoto.
CHANZO: Bongo5


No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...