Tuesday 10 September 2013

RAFAEL NADAL AMSHINDA NOVAK DJOKOVIC KATIKA US OPEN 2013 (WANAUME)



Rafael Nadal ambaye ni mchezaji wa tenisi namba 2 duniani kwa upande wa wanaume,amemshinda mchezaji namba 1 wa tenisi Novak Djokovic katika fainali za mashindano ya wazi ya US maarufu kama ``US Open``. Nadal ameshinda kwa 6-2, 3-6, 6-4, 6-1 na kunyakua taji la 13.
SOURCE: TENNIS WORLD USA

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...