Rais Obama akilakiwa na mfalme Carl Gustav XVI wa Sweden asubuhi ya leo,alipokwenda kumtembelea katika makazi yake (palace)
Rais Obama akiwa na mfalme Carl Gustav XVI wa Sweden na malkia Silvia asubuhi leo
Msafara wa rais Obama ukiondoka katika jumba la mfalme kuelekea uwanja wa ndege asubuhi ya leo
Obama amewasili katika uwanja wa ndege wa Arlanda, Stockholm na akisubiriwa kushuka katika gari lake,The ``Beast``
Obama akiagana na viongozi mbalimbali wa Sweden,waliokuwepo katika uwanja wa Arlanda,kumuaga
Obama akipunga mkono muda mfupi kabla ya kuondoka
Air force one iliyombeba rais Obama ikiwa imeacha ardhi ya Sweden!
PICHA kwa hisani ya svd
No comments:
Post a Comment