Wednesday 11 September 2013

ROSE NDAUKA, BATULI, RICHIE NA SLIM OMAR WAWA MABALOZI WA SOKO LA HISA DAR ES SALAAM(DSE).


Mastaa wa filamu Swahiliwood Rose Ndauka, Yobnesh Yusuph(Batuli), Rich na Slim Omar wamechaguliwa rasmi kuwa mabalozi wa soko la hisa la Dar es salaam/Dar es salaam Stock Exchange(DSE). Kuanzia leo(jana) wanaanza kuwa mabalozi rasmi. Wasanii hawa watatokea katika matangazo ya Tv, radio, magazetini na mitandaoni, habari za uhakika tulizozipata ni kuwa mkataba walioupata ni mnono yaani pesa ndefu kwa kwenda mbele. Vile vile mkataba huo hauwabani na kazi zao nyingine zikiwemo za filamu.



CHANZO: Thesuperstarstz

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...