Monday 9 September 2013

SERENA WILLIAMS AMSHINDA VICTORIA AZARENKA KATIKA US OPEN 2013

S.Williams V.Azarenka75667861  




Kwa mara nyingine tena Serena Williams amedhihirisha kuwa yeye ni mchezaji bora wa kike wa tenisi duniani mara baada ya kumwadhibu Victoria Azarenka katika fainali za mashindano ya wazi ya tenisi yajulikanayo kama US Open.
Serena hakusita kuonyesha furaha yake pale alipomaliza mchezo. Hili ni kombe la Tano kwa US Open na ni grand slam ya 17.
CHANZO: Eurosport

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...