Tuesday 10 September 2013

TASNIA YA SANAA YA UIGIZAJI WA FILAMU YAPOTEZA MSANII MWINGINE: VILIO VYATAWALA MSIBANI


Zuhura Maftah ‘Malisa’  Enzi za uhai wake
 Mama mzazi wa Malisa akiwa na uso wa huzuni.
  Dada wa marehemu (wa tatu kushoto) akilia kwa uchungu baada ya msanii wa filamu, Chuchu Hansi (aliyeinamisha kichwa) kuingia na kuangua kilio.


   Wasanii wakongwe wa filamu, Devotha Mbaga na Vanitha wakilia kwa uchungu.
Waombolezaji wakiwa na nyuso za huzuni.
VILIO vimetanda msibani kwa msanii wa filamu za Kibongo, Zuhura Maftah ‘Malisa’ aliyefariki dunia jana akiwa hospitali ya Hindu  Manndal alikokuwa amelazwa akisumbuliwa na maumivu makali ya kichwa.

Msiba wa msanii huyo upo nyumbani kwa dada yake Mikocheni na mazishi yatafanyika kesho (leo)makaburi ya Kinondoni.(Habari/Picha: Gladness Mallya na Hamida Hassan / GPL)

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...