Wadau,siku hizi kila kitu kimerahisishwa.Badala ya fundi kujenga kila kitu jikoni kwasasa unaweza kununua seti ya jiko zima na mafundi kazi yao ikawa ni kuunganisha vipande tofauti basi.Hii ni nzuri kwani mtu unanunua seti ya jiko kulingana na hali yako ya kiuchumi na vilevile kwa kuzingatia ukubwa wa nyumba yako. Uzuri mwingine seti hizi zipo katika rangi mbalimbali hivyo una uwezo wa kuchagua rangi uipendayo. Angalia baadhi ya designs.

No comments:
Post a Comment