Muigizaji maarufu Swahiliwood King Majuto amepandisha gharama za kucheza filamu za watu kutoka milioni 3-4 hadi milioni 8-10. Mahitaji hayo yameongezeka kutokana na filamu zake kufanya vizuri sokoni na watayarishaji wengi kumhitaji katika filamu zao. Hivyo kama wewe ni mtayarishaji na unamhitaji King Majuto lazima uwe na pesa ya kumlipa kuanzia milioni 8 mpaka 10.
King Majuto |
No comments:
Post a Comment