Sunday 6 October 2013

PICHA YA SIKU: RAIS DKT. KIKWETE ATETA NA MTOTO WA KIMASAI

D92A2773Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakizungumza na mtoto kutoka jamii ya wafugaji wa kimasai Annette Mtambo muda mfupi baada ya Rais Kikwete kuzindua mradi wa maji jana. Rais Kikwete yupo katika ziara ya kikazi Mkoani Pwani (Picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...